
Mratibu wa utafiti wa viashiria na matokeo ya UKIMWI Tanzania wa mwaka
2016. Bi Marium Kitembe akimukabidhi Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kiasi cha shilingi milion
moja na laki sita(1,600,000) zilizochangwa kwa wadadisi wa utafiti huo
kwa ajiri ya waasilika wa tetemeko lililotokea Mkoani Kagera hivi
karibuni. Mh Ummy mwalimu amekabidhiwa fedha hizo wakati wa hafla fupi
ya kufunga mafunzo ya utafiti huo mkoani Dodoma
0 comments:
Post a Comment