Wednesday, 26 October 2016

KILIMO CHA MATIKITI

Image result for tikiti maji

1. Ekari 1 ya tikiti maji
Kukodi shamba 400,000.00
Mbegu 300,000.00
Kulima 50,000.00
Kupiga haro 40,000.00
Kupanda 40,000.00
Mbolea 100,000.00
Kumwagilia 200,000.00
Kutengeneza visahani - umbali toka mstari hadi mstari mita 2 na umbali kutoka mmea hadi mmea ni mita 2; 40,000.00
Viuatilifu - viuadudu na viuakuvu 230,000.00
Kupalilia (Tikiti maji hukomaa na kuwa tayari kuvuna miezi 2 tangu kupanda) mara 2 100,000.00
Kuvuna 100,000.00
Jumla ya gharama zote 1,600,000.00
Mauzo - eka moja hutoa mashina 4,400 na yanakuwa yameoteshwa mbegu 2 kwa shina. Kila shina lina uwezo wa kutoa tikiti maji 5 na kila moja huuzwa kwa sh. 1,000 bei ya shamba. Kwa hiyo: 1,000x5x1, 000/- = 5,000,000.00 5,000,000.00
Faida 5,000,000.00 - 1,200,000.00 3,400,000.00
Actual Calculation
Mashina 1225 kwa ekari moja
Kila shina lenye miche miwili linatoa wastani wa tikiti 10
Bei ya tikiti ya shambani ni Tshs 1,000/=
So. 1,225 × 10 × 1000 Tshs =
Profit made: 12,250,000.00 – 1,600,000.00 = 10,650,000/=
MSHIU JOHNSON 0764 414476 Email: mshiujohnson@gmail.com
2 Ekari 0.25 biringanya Kulima10,000.00
Mbegu 10,000.00
Kupiga haro 10,000.00
Kupanda 5,000.00
Mbolea 15,000.00
Kumwagilia 30,000.00
Viuatilifu - viuadudu na viuakuvu 30,000.00
Kupalilia 10,000.00
Kuvuna 15,000.00
Jumla ya gharama zote 135,000.00
Mauzo - Hekta moja hutoa tani 1.5 ambazo ni sawasawa na Kilogramu 1,500 za biringanya; na biringanya huuzwa kilo moja TSh. 300.00. Kwa hiyo robo eka (Hekta 1 = Eka 2.47105) itaingiza kipato kama ifuatavyeo: (1,500÷4)x500.00/- = 187,500/- 187,500.00
Faida 187,500.00 - 135,000.00 52,500.00
3 Ekari 0.25 ng'ogwe Kulima10,000.00
Mbegu 10,000.00
Kupiga haro 10,000.00
Kupanda 5,000.00
Mbolea 15,000.00
Kumwagilia 30,000.00
Kupalilia 10,000.00
Kuvuna 15,000.00
Jumla ya gharama zote 105,000.00
Mauzo - Hekta moja hutoa tani 1.5 ambazo ni sawasawa na Kilogramu 1,500 za biringanya; na biringanya huuzwa kilo moja TSh. 300.00. Kwa hiyo robo eka (Hekta 1 = Eka 2.47105) itaingiza kipato kama ifuatavyeo: (1,500÷4)x500.00/- = 187,500/- 187,500.00
Faida 187,500.00 - 135,000.00 82,500.00
Jumla ya gharama zote 1,840,000.00
Jumla ya faida 3,535,000.00
From Johnson Mshiu UDSM

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU(NBS) YATOA MCHANGO KWA AJIRI WAASILIKA WA TETEMEKO MKOANI KAGERA

Mratibu wa utafiti wa viashiria na matokeo ya UKIMWI Tanzania wa mwaka 2016. Bi Marium Kitembe akimukabidhi Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kiasi cha shilingi milion moja na laki sita(1,600,000) zilizochangwa kwa wadadisi wa utafiti huo kwa ajiri ya waasilika wa tetemeko lililotokea Mkoani Kagera hivi karibuni. Mh Ummy mwalimu amekabidhiwa fedha hizo wakati wa hafla fupi ya kufunga mafunzo ya utafiti huo mkoani Dodoma

 
Design by Wordpress Theme | Bloggerized by Free Blogger Templates | coupon codes